Header Ads

ZABURI 32:8

ZABURI 32:8 Nitakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea; Nitakushauri, jicho langu likikutazama.

Huu ni msitari wa biblia ambao huwa unatumika sana pindi tunapotaka kumtazamia MUNGU kutenda kitu kwenye maisha yetu lakini hapana ambaye alishawahi kujiuliza kwa ndani zaidi.
Kuna maswali sita ya niliyofikria kuhusu huu msitari nayo ni:-

1. Muda gani MUNGU anafundisha??
2. Mungu anamfundisha nani??
3. Kwanini anioneshe njia wala asinishike kwenda namimi katika hiyo njia?
4. Je nisipoiendea hiyo njia hasara zangu ni zipi??
5. Je MUNGU anashauri muda gani na kwa majira yapi??
6. Nitatofautishaje mafundisho na ushauri wa MUNGU kutoka kwa ule wa shetani??

Tutajibu swali moja baada ya jingine ili kufikia ile hali ya kuujua msitari huu na kuufanya wakwako siku zote katika maisha na ili MUNGU asitupe maarifa yake juu yako wala juu ya uzao wako futana nami katika somo hili la ujuzi na maarifa ya BWANA.
litaanza rasmi kufundishwa 15/03/2017
by Michael Basa

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.